We Have More Than 40 Years of Experience.
Get in Touch
top-ban
Blog Center
 1. Home >
 2. Blog >
 3. Blog Detail

ufugaji wa kuku wa mayai

Aina ya kuku Njia za ufugaji Kuku wa mayai Kuku wa nyama Sakafu ya matandazo 3 - 4 6 - 8 Ufugaji wa kwenye vichanja maalumu vya chuma 8 - 12 15 - 25 Vifaa vinavyohitajika katika banda la kuku: Vyombo vya maji – maalumu vya plastiki au bati vya kuweka maji kwa ajili ya kuku, unaweza kutumia sahani na kopo jaza maji kwenye kopo kisha

Blog Detail
 • (PDF) UFUGAJI BORA WA KUKU FINAL-5.pdf | Gas Nzasule
  (PDF) UFUGAJI BORA WA KUKU FINAL-5.pdf | Gas Nzasule

  Wafugaji wengi hufuga kutegemeana na uwezo wa kuku kuhimili magonjwa ,kuwa na uzito mkubwa, utagaji wa mayai mengi n.k. Koo za kuku wa asili wenye sifa za namna hii ni aina ya Bukini , Kuchi, Kuchere na wa Kawaida wasio na ukoo maalum

  Get Price
 • UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI HATUA KWA HATUA - Kilimo
  UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI HATUA KWA HATUA - Kilimo

  Ufugaji wa kuku wa mayai umegawanyika katika hatua tano kama inavyoonekana kwenye jedwali hapa chini. Hatua hizi zimepangwa kwa kuangalia (1) ukuaji (2) Mahitaji ya nafasi kwenye nyumba na (3) Aina ya chakula anachotakiwa kupewa. Kwa kawaida kuku wa mayai huanza kutaga mayai wakifikisha wiki 18 hadi 20 na wataendelea kutaga mfululizo hadi

  Get Price
 • KUKU WA MAYAI - EGG CHICKEN - IBRAHIM MDOE LIFE
  KUKU WA MAYAI - EGG CHICKEN - IBRAHIM MDOE LIFE

  Ufugaji wa Kuku wa Mayai kibiashara unamlazimu mfugaji awekeze mtaji wa kutosha ili kupata faida hapo baadae, na faida huanza kuja kuonekana pale mfugaji atakapoanza kuuza mayai pindi kuku watakapoanza kutaga ambapo huwa ni baada ya miezi minne mpaka mitano toka kuanza kwa ufugaji, endapo kuku watakua wameanza kufugwa toka wapo vifaranga

  Get Price
 • Ufugaji wa kuku wa mayai unaweza kumtoa mtu kimaisha
  Ufugaji wa kuku wa mayai unaweza kumtoa mtu kimaisha

  Nov 07, 2020 Sep 13, 2021 Ufugaji wa kuku wa mayai wa mezani unaonekana una tija sana. MFANO: Una kuku 500 wa mayai(layers) kwa siku watataga kuku 450 ambao ni wastani wa trei za mayai 15, ukiuza trei kwa tsh 6000 kila moja utapata tsh 90,000 kwa siku, sawa na 2,700,000 kwa mwezi bila kutoa gharama za uendeshaji ambazo tunaamini itakuwa ni 50% ya mauzo yote

  Get Price
 • KANUNI ZA UFUGAJI BORA WA KUKU
  KANUNI ZA UFUGAJI BORA WA KUKU

  KANUNI ZA UFUGAJI BORA WA KUKU Watu wengi hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya kwa matumizi mbalimbali. Mifumo ya ufugaji kuku ambayo hutumika hapa nchini ni huria, nusu huria na shadidi

  Get Price
 • Ufugaji wa Kuku Chotara - BORA KILIMO-BIASHARA
  Ufugaji wa Kuku Chotara - BORA KILIMO-BIASHARA

  Nov 04, 2020 Kuku hawa wanataga mayai mengi tofauti na kuku wa kawaida wa kineyeji. Ukiwalisha vizuri wanaweza kutaga mpaka mayai 240 kwa mwaka, huu ukiwa ni wastani wa karibia yai 1 kwa siku. Kuku hawa hukua kwa haraka na wana uwezo wa kufikia uzito wa kilogramu 3 katika muda wa miezi 3

  Get Price
 • Caroline Murigu: Ustahimilivu umemfanikisha katika ufugaji
  Caroline Murigu: Ustahimilivu umemfanikisha katika ufugaji

  Alianza ufugaji mwaka wa 2018 kwa kuku 500 aliouziwa Sh150 kila mmoja wakiwa vifaranga pamoja na gharama ya kuunda kizimba, vifaa vya lishe na maji, na matibabu kwa jumla ikifikia Sh350,000. Aidha, walikuwa kuku wa kienyeji wa kisasa wa kutaga mayai na wa nyama. “Miezi minne baadaye 100 walifariki, waliosalia nikawauza Sh700 kila mmoja

  Get Price
 • UFUGAJI MAKINI
  UFUGAJI MAKINI

  Ufugaji wa kuku wa kisasa ufanywa hasa na wafugaji wahishio mijini, lakini mahitaji ya Watanzania bado ni makubwa kulingana na idadi (yaani ufugaji wa kuku mjini na vijijinji) na ukilinganisha na ongezeko la watu katika nchi. Vile vile mazao yanayopatikana ni kidogo sana na hafifu

  Get Price
 • UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI HATUA KWA HATUA - Kilimo Tanzania
  UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI HATUA KWA HATUA - Kilimo Tanzania

  Ufugaji wa kuku wa mayai umegawanyika katika hatua tano kama inavyoonekana kwenye jedwali hapa chini. Hatua hizi zimepangwa kwa kuangalia (1) ukuaji (2) Mahitaji ya nafasi kwenye nyumba na (3) Aina ya chakula anachotakiwa kupewa. Kwa kawaida kuku wa mayai huanza kutaga mayai wakifikisha wiki 18 hadi 20 na wataendelea kutaga mfululizo hadi

  Get Price
 • Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake | JamiiForums
  Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake | JamiiForums

  May 20, 2010 Oct 05, 2021 Kuku wa kutaga mayai huhitaji mwangaza wa stima (saa 14 kwa siku) ili kutaga mayai (gharama) Kwa kuongezea, rangi ya nyama na mayai ya kuku wa kienyeji huvutia kuliko ile ya kuku wa kisasa. Hivyo basi jaribu kuendeleza na kuhimiza ufugaji wa kuku za kienyeji. Iwapo mkulima ana jogoo mmoja na kuku kumi na mbili, basi kila mwezi waweza kupata kuku

  Get Price
 • FAHAMU KUHUSU KUKU AINA YA SASSO. – Silverlands
  FAHAMU KUHUSU KUKU AINA YA SASSO. – Silverlands

  SASSO ni kuku ambao mfugaji anaweza kuwafuga kwaajili ya mayai lakini pia kwaajili ya nyama. Pia ni kuku ambao wanakua katika mazingira ya aina yeyote kutokana na namna ya ufugaji utakao amua kuwafuga. Unaweza kuwafuga ndani tu kama kuku wa nyama au mayai, pia unaweza kuwafuga kama kuku wa kienyeji kwa kuwaachia nnje (kujitafutia chakula na maji)

  Get Price
 • NJIA BORA ZA UTUNZAJI WA MAYAI YA KUKU - UFUGAJI
  NJIA BORA ZA UTUNZAJI WA MAYAI YA KUKU - UFUGAJI

  Pia mnyunyuzie dawa kuku anayetarajia kuatamia. Weka mayai kwenye kiota huku mikono yako ikiwa imepakwa jivu ili kuepuka kuwa na harufu kwani kuku anaweza kuyasusa. Ni vizuri kuifanya kazi hii ya kumuandaa kuku anayetaka kuatamia wakati wa usiku. Pia ifahamike kuwa kwa kawaida kuku huatamia mayai yake siku 21

  Get Price
 • Ufugaji kibiashara - Posts | Facebook
  Ufugaji kibiashara - Posts | Facebook

  Ufugaji kibiashara, Dar es Salaam, Tanzania. 2,530 likes 48 talking about this. Jifunze namna bora ya ufugaji wa Kuku wa Kisasa na wakienyeji

  Get Price
Related Blog
toTop
Click avatar to contact us